Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu Rosilene Odede amefariki dunia. Taarifa kutoka kwa Naibu Mwenyekiti wa tume hiyo ilisema alifariki Januari 3 2025 baada ya kuugua kwa muda mfupi. Mwishoni mwa mwaka jana, Bi Odede alitoa taarifa kali kulaani utekaji nyara wa vijana nchini.
Habari zaidi kufuata…
Leave a Reply