Mwanamfalme na mkuu wa kidini The Aga Khan afariki – Taifa Leo


MWANAMFALME Karim Al-Hussaini Aga Khan wa IV, Imamu wa 49 wa Waislamu wa Shia Ismaili na Mwenyekiti wa shirika la kimaendeleo la Aga Khan Development Network (AKDN), ameaga dunia.

Taarifa kutoka wa Diwan wa Ismaili inasema kwamba The Aga Khan alifariki jijini Lisbona, akiwa na umri wa miaka 88, na alikuwa amezingirwa na familia yake.

“Katika maisha yake yote, akiwa kiongozi wa kidini, alifunza kwamba uislamu ni imani inayofunza upole, uungwana, kuvumiliana na kudumisha heshima kwa kila binadamu,” ikasema taarifa hiyo.

Habari zaidi zitafuata…



Source link

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*