Gavana Barchok akamatwa na EACC – Taifa Leo


GAVANA wa Bomet  Prof  Hillary Barchok amekamatwa na maafisa wa Tume ya Maadili na  Kupambana na Ufisadi  (EACC) wanaochunguza madai ya ufisadi katika kaunti hiyo.

Maafisa hao wanafanya operesheni katika makazi na ofisi yake. Hii ni sehemu ya uchunguzi unaoendelea kuhusu madai ya mgongano wa maslahi na wizi wa pesa za umma katika kaunti ya Bomet ambao gavana huyo anashukiwa kuhusika. Msemaji wa EACC Eric Ngumbi amethibitisha.

Habari zaidi kufuata…



Source link

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*