Mtangazaji wa miaka mingi Leonard Mbotela afariki dunia – Taifa Leo


Mtangazaji wa miaka mingi Leonard Mambo Mbotela amefariki dunia.

Mbotela, ambaye alitamba kwenye televisheni katika taaluma yake kwa  zaidi ya miongo mitano, aliaga dunia akiwa na umri wa miaka 85.

Kifo chake kilithibitishwa na familia yake Ijumaa, Februari 7 2025.

Mbotela alipata umaarufu kwa kutangaza mechi za soka na  kwa kipindi chake “Je, Huu ni Ungwana?” kilichopeperushwa kwa miaka mingi katika Idhaa ya Taifa ya Shirika la Utangazaji Kenya (KBC).



Source link

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*