Mbunge wa Malava Moses Malulu Injendi afariki akitibiwa hospitalini – Taifa Leo


MBUNGE wa Malava, Bw Moses Malulu Injendi ameaga dunia, Spika wa Bunge Moses Wetang’ula.

Spika Wetang’ula alitoa tangazo hilo Jumatatu akisema mbunge huyo wa muhula wa tatu alifariki Februari 17, 2025 saa kumi na moja jioni akipokea matibabu katika hospitali ya Aga Khan, Nairobi.

Habari zaidi ni kadiri tunavyozipokea…



Source link

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*