MAHAKAMA Kuu imebatilisha kuachiliwa kwa aliyekuwa Gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko katika kesi ya ufisadi wa Sh357 milioni.
Kesi hiyo ambayo ilikuwa moja ya misingi ya kutimuliwa kwake mamlakani na madiwani mnamo 2020 iligaagaa mahakamani kwa muda kabla ya kufutiliwa mbali Februari 2024.
Lakini sasa Jaji Sifuna amepata kwamba hakimu aliyemuondolea kesi hiyo alitumia hati batili ya mashtaka, jambo linalomaanisha kwamba kesi hiyo sasa inafufuka na kuendelea.
Habari zaidi ni kadiri tunavyozipokea….
Leave a Reply