Aliyekuwa mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati ameaga dunia – Taifa Leo


Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati ameaga dunia.

Bw Chebukati amefariki katika Nairobi Hospital baada ya kuugua kwa muda mrefu.



Source link

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*