Afisa kutoka wakfu wa Kowili Education Recovery Foundation akijumuika na baadhi ya wanafunzi ambao watafaidi na kitita cha Sh3.3 milioni ambacho jamii ilikusanya ili kufadhili masomo ya watoto kutoka familia maskini, eneo la Rangwe, Kaunti ya Homa Bay. PICHA | GEORGE ODIWUOR
Leave a Reply