RAIS William Ruto ameteua Mutahi Kagwe kama Waziri wa Kilimo, Lee Kinyanjui kama Waziri wa Biashara na William Kabogo kama Waziri wa Teknolojia na Mawasiliano katika mabadiliko ya hivi punde.
Katika uteuzi huo ambao umejiri juma moja na nusu tangu handisheki baina ya Rais Ruto na [Rais Mstaafu] Uhuru Kenyatta, umesheheni pia mageuzi mengine yaliyomtoa Kipchumba Murkomen kutoka kwa Waziri wa Michezo hadi kwa Wizara ya Usalama wa Ndani iliyokuwa inashikiliwa na Kithure Kindiki kabla ya kuteuliwa kuwa Naibu Rais.
Leave a Reply