Mwenyekiti wa KNCHR Odede amefariki, tume yatangaza – Taifa Leo


Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu Rosilene Odede amefariki dunia. Taarifa kutoka kwa Naibu Mwenyekiti wa tume hiyo ilisema alifariki Januari 3 2025 baada ya kuugua kwa muda mfupi. Mwishoni mwa mwaka jana, Bi Odede  alitoa taarifa kali kulaani utekaji nyara wa vijana nchini.

Habari zaidi kufuata…



Source link

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*