
Shugamami aangua kilio kwa kutorokwa na ‘Ben Ten’ wake – Taifa Leo
SHUGAMAMI wa hapa, aliacha vidosho katika saluni moja vinywa wazi alipolalamika kuwa, alitorokwa na barobaro ambaye amekuwa akimhudumia kwa mwaka mmoja sasa. Mama aliwapata vipusa […]