Shirika laanika ‘uozo wa uongo na hongo’ wa utawala wa Rais Ruto – Taifa Leo
Mkurugenzi Mkuu wa Africog Gladwell Otieno katika picha hii ya awali. Ripoti ya Africog imeelezea visa hongo, uongo na mapendeleo inavyosema vimesheheni katika utawala wa […]