Kenya yahisi joto Trump kutua Ikulu kufuatia hatari ya kutimua raia na kuikosesha nchi pesa – Taifa Leo
Rais mpya wa Amerika Donald Trump alipoapishwa Jumatatu. Tayari mpango wa kutimua wahamiaji haramu umeanza kama alivyoahidi kwenye kampeni zake. Picha|Reuters KENYA imeanza kuhisi joto […]