![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2025/01/DNACCIDENT1411b-1320x804-326x245.jpg)
Watu wawili wa familia moja wafariki baada ya kuruka nje ya matatu iliyopata hitilafu za breki – Taifa Leo
Matatu iliyohusika kwenye ajali katika tukio tofauti. Watu wawili walifariki Alhamisi na wengine wanne kupata majeraha baada ya kuruka nje ya matatu iliyokuwa imepatwa na […]