Wanasiasa wawili kuhojiwa kuhusiana na mauaji ya mwanaharakati Molo – Taifa Leo
Wakazi wa Molo wakibeba mwili wa Richard Otieno almaarufu ‘Molo president’ wakilalamikia mauaji yake. Picha ndogo: Mbunge wa eneo hilo Kuria Kimani WAPELELEZI kutoka Kitengo […]