Watu 100,000 wahama moto ukizidi Amerika – Taifa Leo
Afisa wa zimamoto akijaribu kuzima ndimi za moto Los Angeles, Amerika. PICHA|HISANI LOS ANGELES, AMERIKA WATU wasiopungua watano walifariki, huku mamia ya nyumba zikiharibiwa baada […]
Afisa wa zimamoto akijaribu kuzima ndimi za moto Los Angeles, Amerika. PICHA|HISANI LOS ANGELES, AMERIKA WATU wasiopungua watano walifariki, huku mamia ya nyumba zikiharibiwa baada […]
Kisa ambapo gari aina ya Cybertruck linalotengenezwa na kampuni ya bilionea Elon Musk aliye mshirika wa karibu wa Donald Trump, lililipuka nje ya hoteli ya […]
JIMMY Carter, mkulima mwenye bidii wa Georgia ambaye akiwa rais wa 39 wa Amerika alipambana na uchumi mbaya na mgogoro wa mateka wa Iran lakini […]
MSANII nguli wa Uganda Jose Chameleone ametua Boston, Amerika, kwa matibabu maalumu baada ya kuondoka hospitali moja jijini Kampala alikolazwa kwa muda. Ripoti zilisema msanii […]
Raia wa Kenya, Mohamed Abdul-Malik Bajabu, aliyeachiliwa huru kutoka kambi ya kijeshi ya Amerika iliyo Guantanamo Bay, Cuba. PICHA|HISANI RAIA wa Kenya, Mohamed Abdul-Malik Bajabu, […]
MWANADADA aliamua kumtema mume wake alipomkataza kusafiri nchini Amerika alikopata kazi ya mshahara mnono katika shirika moja la kimataifa. Wawili hao wamekuwa wakiishi hapa mjini […]
George Ngige, mhasiriwa wa bomu Agosti 7, 1998 akitafuta haki kortini jijini Nairobi mnamo Jumanne Disemba 3, 2024. Picha|Richard Munguti. JAJI Lawrence Mugambi amemwagiza Naibu […]
Rais Joe Biden akiwa na mwanawe Hunter ambaye amekuwa akikabiliwa na kesi kortini. Mnamo Jumapili, Rais Biden alitangaza kumpa msamaha wa urais, ikimaanisha kwamba kesi […]
Copyright © 2025 | WordPress Theme by MH Themes