Wakenya waponyoka na nafasi tano za kwanza Malaga Marathon huko Uhispania – Taifa Leo
Vincent Kipkorir. Picha|Mashirika VINCENT Kipkorir ndiye mshindi wa mbio za Generali Malaga Marathon nchini Uhispania mnamo Jumapili, Desemba 15, 2024. Aliongoza Wakenya wenzake Micah Kipkosgei, […]