![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2024/12/ncck-e1733292344524-326x245.png)
Presha inapanda makanisa zaidi yakiendelea kuponda serikali ya Ruto – Taifa Leo
Katibu Mkuu wa NCCK Chris Kinyanjui (kushoto) katika kikao na wanahabari. Picha|Maktaba MAKANISA yameendelea kuiponda serikali kwa kushindwa kutatua changamoto zinazowasibu Wakenya yakisema inaendelea kutoa […]