Wauguzi washtakiwa kwa kuwamwagia asidi polisi waliokuwa wanachunguza uavyaji mimba Ngara – Taifa Leo
Mahakama ya Milimani Nairobi. Picha|Maktaba KIFUNGO cha maisha kinamkodolea macho muuguzi Jonah Kipsiror Marori aliyeshtakiwa kwa madai ya kuwamwagia maafisa watatu wa polisi asidi. […]