
Mpango wa kando anyima buda usingizi alipotishia kumuachia mtoto aliyemtelekeza afisini kwake – Taifa Leo
Mdukuzi wa mitandao. Picha|Hisani BUDA mmoja wa hapa alilazimika kumuacha mkewe usiku kwenda kumtuliza mpango wake wa kando aliyetishia kumpelekea mtoto aliyemzalisha ofisini. Buda alikuwa […]