Bodaboda wa Kitengela nusra azirai kupata mteja aliyeitiwa gesti ni mkewe – Taifa Leo
MWENDESHAJI bodaboda nusra apoteze fahamu alipopigiwa simu akabebe mteja katika gesti, na kupata ni mkewe ametoka kula uroda na jamaa. Kulingana na mdokezi, boda huyo […]