Nusra vipusa maweita wamwage unga wakipigania buda mwenye fulusi – Taifa Leo
KIOJA kilizuka katika baa moja mtaani hapa vipusa wahudumu walipotiana kucha wakizozania buda aliyeingia humo kupata dozi. Duru zinasema kuwa buda huyo ni tajiri kupindukia […]