
Wagonjwa mashakani hospitali za mashambani zikikatiza huduma kwa kutolipwa na SHA – Taifa Leo
Waziri wa Afya Deborah Barasa akizungumza na mgonjwa ambaye alitatizika na mfumo wa SHIF mwaka jana. Licha ya hakikisho la serikali, wagonjwa wengi bado wanatatizika […]