Madaktari wa mifugo Kenya wataka serikali iahirishe utoaji chanjo tata – Taifa Leo
Kondoo aina ya Dorper. Serikali inataka mifugo wote wachanje Januari. PICHA|BONIFACE BOGITA CHAMA cha Madaktari wa Mifugo Kenya (KVA) kimeitaka serikali kusitisha kampeni ya chanjo […]