Kalonzo amebaki jangwani kisiasa Raila Uhuru wakichangamkia Ruto – Taifa Leo
Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka. PICHA | MAKTABA MASWALI yameibuka iwapo Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka atadumu katika jangwa la kisiasa linalomkodolea macho […]