
Mume ni wake ingawa natoka naye, ila lazima ampigie simu kila dakika? – Taifa Leo
Wapenzi wakisemezana kwa utani. Picha|Hisani Nimependana na mume wa mwenyewe. Nampenda kwa sababu anatosheleza mahitaji yangu kwa kila hali. Lakini tabia ya mke wake ya […]