Msomi aunda sanamu ya Trump chooni kukejeli kiongozi huyo kwa kutusi Waafrika – Taifa Leo
HUKU ulimwengu ukivuta pumzi kuelekea kuapishwa kwa Donald Trump kesho, Januari 20, msomi mmoja Mkenya, David Maillu, amejenga choo chenye sanamu ya kuvutia ya Rais […]