![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2024/12/Diamond-326x245.jpg)
Sirudishi hata senti, Diamond aapa licha ya kutotumbuiza tamasha la Furaha City – Taifa Leo
Mwanamuziki maarufu kutoka Tanzania, Diamond Platnumz. PICHA|HISANI MSANII wa Bongo, Diamond Platnumz, amevunja kimya chake kufuatia hatua yake ya kutotumbuiza katika tamasha la Furaha City […]