
Jaji Mkuu Koome azingirwa na masaibu mawakili wakitisha kugomea mahakama – Taifa Leo
Jaji Mkuu Martha Koome.Picha|Maktaba JAJI Mkuu Martha Koome anakumbwa na masaibu kufuatia kile alichotaja kama kuondolewa kwa walinzi wake na kupunguzwa kwa maafisa wa polisi […]