Kenya ina msururu ya mikataba mibovu ya kifedha, yote ikila kwa mlipa ushuru – Taifa Leo
KATIKA matukio machache mno ambayo niliwahi kutaniana na aliyekuwa mhariri msimamizi wangu enzi nikiandikia gazeti hili kama ripota, bwana mkubwa huyo alinishinikiza kutotumia akili kama […]