Washirika wa Gachagua tumbo joto Ruto akitarajiwa kubadilisha makatibu – Taifa Leo
RAIS William Ruto anatazamiwa kubadilisha baadhi ya Makatibu baada ya Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) kuwahoji watu 109 walioorodheshwa kwa kazi hiyo. Inasemekana kuwa […]