Mwanadada apapura mume kwa kutumbukia mtaroni akiwa mlevi chakari – Taifa Leo
SINEMA ya bure ilishuhudiwa katika eneo la Arimi mjini Elburgon, Kaunti ya Nakuru, mwanadada alipoangushia mumewe makofi kwa kulala ndani ya mtaro akiwa amelewa kupindukia. […]