
Jamaa ahepa na pesa za matanga alizopewa na mwanasiasa Bomet – Taifa Leo
Noti za Sh1,000 pesa za Kenya. PICHA | MAKTABA POLO aliyepokezwa hela za mazishi na mwanasiasa hapa Chepalungu, Kaunti ya Bomet, alihepa nazo akisema zilikuwa […]
Noti za Sh1,000 pesa za Kenya. PICHA | MAKTABA POLO aliyepokezwa hela za mazishi na mwanasiasa hapa Chepalungu, Kaunti ya Bomet, alihepa nazo akisema zilikuwa […]
MWANADADA wa hapa Mtopanga jijini Mombasa alitishia kuvunja ndoa yake baada ya mumewe kumtaka aache kutangamana na wanaume. Tofauti zao zilianza buda alipogundua kuwa mkewe […]
MWANADADA wa Ganze, Kaunti ya Kilifi, alitangazia familia ya mumewe kwamba alikuwa amechoka na ndoa akilaumu jamaa kwa kutojua maana ya mke. Mrembo alisema alikuwa […]
PASTA wa kanisa moja mjini Thika alishangaza waumini alipoanika demu aliyekula ‘fare’ nyingi alipokuwa akimtongoza. “Ala, kumbe umetutembelea kanisani? Huyu mrembo nilimtongoza kitambo. Shida ni […]
MHUDUMU wa kilabu moja mjini Nyeri alikasirika nusra aache kazi baada ya kidosho mteja kumlowesha kwa pombe akidai ni mchafu. Inasemekana kuwa shughuli za kawaida […]
Copyright © 2025 | WordPress Theme by MH Themes