Wanaotumia walemavu kama ombaomba kulipa faini ya Sh2 milioni – Taifa Leo
Mlemavu akiomba msaada barabarani. PICHA|HISANI WATU wanaosababisha, kununua au kuhimiza watoto au watu wazima walio na ulemavu katika shughuli ya ombaomba watapigwa faini ya Sh2 […]