Una haki kisheria kushtaki mwanandoa mwenzako akikusababishia jeraha – Taifa Leo
Wanandoa wakifarakana. Picha|Hisani UNAWEZA kumshtaki mumeo au mkeo akikupiga na kukusababishia jeraha. Waathiriwa wengi wa dhuluma za nyumbani huwa wanakosa kuchukulia wanaowadhulumu hatua pengine kwa […]