
Ni katika mazingira gani ambapo kiambishi ‘ni’ hutumiwa kutoa amri? – Taifa Leo
Bango la Somo la Kiswahili. PICHA|HISANI MWALIMU Moses Kanyai, mmoja wa maashiki wa safu ya ‘Ndivyo Sivyo’, aliposoma makala yangu yaliyokosoa matumizi ya kiambishi {ni} […]