Amnesty International sasa yashutumu Israel kwa mauaji ya halaiki Gaza – Taifa Leo
SHIRIKA la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, limeshutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina. Katika ripoti iliyochapishwa Alhamisi, shirika hilo linalaumu […]