
Papa Francis apatikana tena na tatizo la figo hali yake ikiendelea kuwa mbaya
ROME, Italia KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis anaendelea kupumzika hospitalini jijini Rome ambako amesalia kwa siku 10 akiugua maradhi ya mapafu, maambukizi tata […]