Mshangao kisura kumshambulia jamaa kwa kumlipia bili ya hospitali baada ya kujifungua – Taifa Leo
JAMAA wa hapa hakuamini demu mmoja alipomfokea vikali kwa kumlipia bili ya hospitali ya mtoto wake. Jamaa alipata habari kuwa demu alikuwa amelemewa na bili […]