Magavana wasema wamelazimishiwa vifaa vya matibabu vinavyomeza mabilioni ya SHIF – Taifa Leo
Naibu mwenyekiti wa Baraza la Magavana Mutahi Kahiga ambaye amefichua kuhusu mpango ambapo kaunti zimelazimishwa kutia saini mkataba wa vifaa vya matibabu ghali na serikali […]