![](https://informationcentre.co.ke/wp-content/uploads/2024/12/Ishakani-326x245.jpg)
Wakazi wataka wasafishiwe mazingira baada ya wanajeshi wakimbizi kutoka Somalia kuenda haja kiholela – Taifa Leo
Sehemu mojawapo ya kijiji cha Ishakani kilichoko mpakani mwa Kenya na Somalia. Majuma mawili yaliyopita kijiji hicho kilipokea wanajeshi wakimbizi kutoka Somalia takriban 900. PICHA|KALUME […]