Mzee wa mtaa jela miaka 20 kwa kupiga mwanamume aliyeomba chakula cha msaada – Taifa Leo
Chakula cha msaada kikigawanywa. Picha|Maktaba MZEE wa mtaa na mshirika wake watatumikia kifungo cha miaka 20 gerezani kwa kosa la kumshambulia mwenzao huku wakigombania chakula […]