
Shule zategemea mikopo ghali ya benki serikali ikikosa kutuma pesa – Taifa Leo
Wanafunzi wakisoma darasani. Serikali kwa mara nyingine imechelewesha kutuma pesa za kufadhili elimu. Picha|Maktaba SHULE za umma kote nchini zinakabiliwa na hali ngumu kifedha baada […]