Kagwe atofautiana na Ruto kuhusu chanjo ya mifugo, asisitiza dawa zitaundiwa nchini – Taifa Leo
Waziri Mteule wa Kilimo na Maendeleo ya Mifugo, Mutahi Kagwe akihojiwa Bungeni mnamo Jumanne, Januari 14, 2025. PICHA|DENNIS ONSONGO WAZIRI Mteule wa Kilimo na Maendeleo […]