Mabadiliko ya kitenzi ‘-w-’ katika semi (Sehemu ya Pili) – Taifa Leo
Bango la Somo la Kiswahili. PICHA|HISANI KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya, nilionesha kazi mbalimbali za viambishi katika neno ‘amekuwa’. Nilikusudia kuweka wazi matumizi mwafaka […]