Mama afokea mumewe kwa kuwa dume pekee katika chama cha akina dada – Taifa Leo
MWANADADA aliingiwa na tumbojoto alipogundua mumewe ni mwanamume pekee katika chama cha vipusa mjini Awasi, Kisumu. Inasemekana mwanadada huyo aliolewa mwaka jana na hivyo bado […]