Wajane wa Jacob Juma wazozania nyumba – Taifa Leo
Miriam Wairimu (kushoto) na Lydia Tabuke wazozania umiliki wa nyumba iliyoko Westlands Nairobi. Picha|Labaan Shabaan KIFO cha mwanabiashara Jacob Juma Mei 6, 2016 kilipisha mgogoro wa umiliki wa nyumba mojawapo […]