Keki ya Krismasi yenye sumu yaua wanawake watatu – Taifa Leo
Keki ya Krismasi. PICHA|SAMMY WAWERU WANAWAKE watatu wameaga dunia baada ya kula keki ya kusherehekea sikukuu ya Krismasi katika kinachoshukiwa kuwa kisa cha kutiliwa sumu. […]
Keki ya Krismasi. PICHA|SAMMY WAWERU WANAWAKE watatu wameaga dunia baada ya kula keki ya kusherehekea sikukuu ya Krismasi katika kinachoshukiwa kuwa kisa cha kutiliwa sumu. […]
Mama asaidiwa na muuguzi baada ya kujifungua katika Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Bungoma. Picha|KNA ILIKUWA Krismasi ya aina yake kwa kina mama ambao […]
Rais William Ruto ambaye amekuwa akitoa hakikisho kwamba madeni yamedhibitiwa. Picha|Boniface Mwangi RAIS William Ruto amewataka Wakenya kusherehekea Krismasi 2024 kwa uangalifu, akiwataka wawajibike. Akizungumza […]
Kituo cha magari cha Tea Room, Nairobi, nauli ya kuelekea Nakuru Krismasi 2024 ni Sh1, 000. PICHA|SAMMY WAWERU KAMA ilivyo ada na desturi nchini, msimu […]
Rais Willliam Ruto wakati akiwa mgombea urais kwa tikiti ya chama cha UDA, akihudhuria hafla jijini Nairobi mnamo Juni 2022 kuelekea uchaguzi mkuu Agosti mwaka […]
NI Krismasi, jibambe, lakini uwe mwangalifu. Hii ni kwa wale wanaotumia siku hii kwa starehe. Wakijumuika katika kumbi za starehe kwa burundani licha gumzo za […]
ONYO limetolewa kwa wazazi kuwa watoto wao wanaweza kujiingiza katika matumizi hatari ya sigara za kielektroniki ambazo zinazidi kuongezeka ulimwenguni. Sigara hizi zina mvuke wenye […]
IWAPO unataka kufurahia msimu wa Krismasi na mpenzi wako, usiige mtu mwingine. Cheza kama wewe kulingana na uwezo wako. Watu hulalamika jinsi wamechoshwa na wapenzi […]
POLO aliyekuwa akifunza kwaya ya akina mama katika eneo la Kipsongo mjini Kitale aliamua kupiga breki shughuli hiyo kwa hasira baada ya kusikia madai kwamba […]
Mke wangu ana uhusiano wa karibu sana na pasta wake ambao nahisi umekiuka mipaka. Pasta amekuwa akija nyumbani na kukaa hadi usiku. Hata akishaondoka bado […]
Mhudumu akitia mafuta kwa gari katika kituo kimoja mjini Nyeri awali 2023. EPRA imetangaza bei mpya za bidhaa za mafuta kuelekea sikukuu ya Krismasi mwaka […]
Nyama ikikatwa bucha. Picha|Hisani WAPENZI wa nyama huenda wakanunua bidhaa hiyo kwa bei ya juu msimu wa Krismasi mwaka huu kutokana na kupanda kwa bei […]
Maafisa wa polisi wakidumisha ulinzi awali. Picha|Maktaba JUMLA ya maafisa 10,317 kutoka Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS), Huduma […]
Copyright © 2025 | WordPress Theme by MH Themes