
Ruto amtambua Raila kama ‘waziri mkuu’ duru zikidai dili ya ushirikiano rasmi imeiva – Taifa Leo
Rais William Ruto akimchangamkia aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga katika Ikulu ndogo ya Mombasa baada ya Odinga kurejea nchini hapo jana. Picha|PCS HADHI ya Kinara […]