MASHAIRI YETU: Unagongewa!

November 29, 2024 Sir Baba 0

Mwanangu nakupigia, ni mamako kijijini, Sababu nakuambia, mambo si mema nyumbani, Nasema mwenzio dia, karudi tena sokoni! Jamani rudi nyumbani, mwanangu unagongewa! Ukiwa huko Malindi, […]